SAFARI YA LEVIS JILANI
Safari ya levis jilani ni simulizi fupi kuhusu maisha yake, alikozaliwa na kulelewa. Anajaribu kuonyesha ari ya kuitetea jamii, kuipigania dhidi ya upotovu na maadili mabaya, yuko na ari ya kubadilisha jamii yake hasa kutokana na ujuzi alionao. Safari yake ya maisha imemuonyesha mengi, hivyo basi ameamua kukata shauri kutumia talanta yake ya ulumbi kuibadilisha jamii kwa kuwaelimisha na kuwakanya