RADIO PRODUCTION SESSION Episode 2
pata kufahamu jinsi mwanahabari chipikizi alifahamu mengi katika maswala mbali na kutambua kuandika na kusoma habari.Anazidi kujinoa huku akiamini kuwa ufahamu wake kuhusiana na maswala ya redio yatazidi kumjenga hasa akijikaza kupata tajriba akiwa angali shuleni.