WETANGULA ASEMA MIGINGO NI KISIWA CHA WAKENYA

Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema yakwamba tume ya Pamoja iliyobuniwa na mataifa ya Kenya na Uganda,  kwa kutumia michoro ya ramani ya kabla ya uhuru  ilibaini wazi yakwamba kisiwa cha Migingo kiko katika ardhi ya Kenya  na hivyo basi wavuvi wakenya hawafai kutatizwa na walinda usalama kutoka taifa Jirani la Uganda kila wanapofanya kazi yao ya uvuvi katika kisiwa hicho.Philip Miyawa anaripoti zaidi

2356 232