MWISE ADAI KUTISHWA NA VIONGOZI SERIKALINI
Mwakilishi wadi wa Ntimaru Mashariki katika kaunti ya Migori Bwana Augustine Mwera Mwise amewaomba viongozi anaosema ya kwamba wako na ushawishi serikalini wawache kuwashurutisha na kuwalazimisha wakaazi wa eneo hilo kuiunga mkono mrengo fulani wa kisiasa.