BEI RAHISI YA MAFUTA TANZANIA YAATHIRI BIASHARA HIYO MIGORI
Baada ya bei ya mafuta kupanda hapa nchini, wakaazi wa kaunti ya Migori inayopakana na Taifa la Tanzania sasa wameamua kuvuka mpaka hadi taifa hilo jirani kununua mafuta hiyo kwa bei nafuu jambo linalosemekana kuathiri pakubwa biashara ya mafuta katika county hiyo.